Marejeo (MTAMBUE ALLAH MUUMBA MTAKAKIFU)
    face
  •   
  •  
Allah Mwenye uhai wa milele na Mwendeshaji wa mambo  yote

Icreasefontsize decreasefontsize

Marejeo (MTAMBUE ALLAH MUUMBA MTAKAKIFU)

1-Kama Dalili Za Kuthibitisha Kuwepo Kwa Allah Ziko Wazi Zinashuhudiwa Na Akili Na Hisia Na Umbile La Uanadamu Na Dalili Za Kisheria, Mbona Kwapatikana Wenye Kumkanusha Allah?!

2-Mbona Watu Wanaikubali Tawhiid Arrububiya Kabla Ya Tawheed Aluluhuya?

3-Taja Makundi Ya Dalili Zinazo Onyesha Kuwepo Kwa Allah, Na Uungu Wake Unaouona Kila Siku.

4-Eleza Baadhi Ya Maana Ya Arrububiya, Kumpwekesha Allah Kwa Uungu Wake.

5-Eleza Uhusiano Ulioko Baina Ya Kukanusha Kuwepo Kwa Allah Na Kujiua Na Kwasababu Gani Ya Mwanzo Upelekea Ya Pili?

   
shiriki nasi