معنى (ولله الأسماء الحسنى) | قواعد الإيمان بأسماء الله الحسنى وصفاته | فَٱدۡعُوهُ بِهَا | وَذَرُواْ ٱلَّذِينَ يُلۡحِدُونَ
MaaNa ya: {Na Mwenyezi Mungu aNa majiNa mazuri mazuri}
MajiNa ya Allah yote Ni majiNa mazuri, Na Allah ameyasifu katika quraNi kuWa
yote Ni majiNa mazuri, akasema: {Na Mwenyezi Mungu aNa majiNa mazuri
mazuri; muombeNi kWayo. Na WaacheNi Wale WaNaoharibu utakatifu WA majiNa yake.
KaribuNi hivi WatalipWa Yale WaliyokuWa Wakiyatenda}. [Al aaraf:
180]
MajiNa haya hayakupata uzuri kWasababu ya kutamkWa, bali yamepata uzuri kWasababu
yaNaonesha sifa zake zilizo kamilika, majiNa yake Allah yote Ni majiNa ya sifa
nzuri ya shukraNi Na utukufu Na sifa, kWasababu hiyo ndio yakaWa mazuri, Na
sifa zake zote Ni sifa za ukamilifu Na utukufu, Na vitendo vyake vyote Ni hikima
tupu Na rehema Na maslahi ya uyu mWaNadamu Na uadilifu.
MiongoNi mWa vitu vya kuamiNi Ni kuamiNi majiNa yake Allah Mwenye nguvu Na
utukufu, Na sifa zake Kama zilivyo katika quraNi Na suNa sahihi za Mtume (s.a.w)
chiNi ya misingi miwili:
Qaida (msingi) WA kWanza: Kumthibitishia Allah kila kiNachostahiki Na utukufu
Wake bila kupotosha Wala kuyafaNaNisha Na majiNa ya vitu vingine, bila kudadisi
uhakika WA sifa zake zikoje, Kwa kulisadikisha neno lake Allah Mtukufu aliposema:
{HakuNa chochote mfano Wake; Naye Ni Mwenye kusikia, Mwenye kuoNa}
(Ash-shuura: 11)
Qaida (msingi) WA pili: Kufahamu maaNa ya sifa zake Na kuthibitisha sifa
ambazo ziNaambataNa Na majiNa yake bila kujaribu kutaka kujua ziko vipi amesema
Allah Mtukufu: {Mwenyezi Mungu aNajua yaliyo mbele Yao Na yaliyo nyuma
Yao. Wala Wao haWawezi kumjua (Mungu) vilivyo} (Taha 110)
Amekwisha eleza Allah Mtukufu lengo la kujieleza Kwa Waja Wake, Kwa majiNa
yake mazuri Na sifa zake za juu, lengo Wamuabudu yeye Kwa haya majiNa. Kama
alivyo sema Allah Mtukufu: {“Sema;” muombeNi (mwenyezi mungu) Kwa jiNa
la Allah au muombeNi Kwa jiNa la Rahman; Kwa jiNa lolote mNalomwita (katika
haya itafaa); kWaNi aNa majiNa mazuri mazuri} (Al-israi: 110)
Amesema Allah Mtukufu: {Na mwenyezi mungu aNa majiNa mazuri mazuri;
muombeNi kWayo. Na WaacheNi Wale WaNaoharibu utakatifu WA majiNa yake. KaribuNi
hivi WatalipWa Yale WaliyokuWa Wakiyatenda}. (Al-a’araf:180)
MaaNa ya muombeNi:
Kuomba dua kupitia majiNa yake Allah mazuri, iNakusanya aiNa mbili za dua:
dua kuomba haja, Kama kauli ya mja akisema:’ ewe Allah Nipe! ewe Mwingi Wa rehema
Ni rehemu, ewe Mkarimu Ni kirimu, Na aiNa ya pili ya dua Ni kushukuru Na kumtukuza
Na kumWabudu kama kumtukuza Allah kWa majiNa yake Na sifa zake bila kumuomba.Na
kushukuru kuNakuWa kWa moyo au kWa ulimi, kumshukuru Allah MkubWa Alie juu Mwenye
majiNa mazuri mazuri, Na sifa za juu.
Na maaNa ya WaacheNi Wale WaNaoharibu:
Kuaribu katika majiNa ya Allah Mwenye nguvu Na cheo: Ni kukataa Na kukanusha
chochote kilichothibiti katika kitabu chake Allah Mtukufu, au kufaNaNisha majiNa
yake Allah Na majiNa ya viumbe vyake, au kumuita Na kumsifu Kwa sifa Na majiNa
yasiyo lingaNa Naye katika sifa Na majiNa ambayo hayaNa hoja katika maneno ya
Allah Na suNa zake Mtume (s.a.w)