Maana ya ( laailaha ila Allah)
    face
  •   
  •  
Allah Mwenye uhai wa milele na Mwendeshaji wa mambo  yote

Icreasefontsize decreasefontsize

MaaNa ya (laailaha ILA Allah)

Hakuna Anyeabudiwa Kwa Haki Isipokuwa Allah.

Hakuna Apaswaye Kuabudiwa Kwa Haki ILA Allah

Hli Ndilo Neno La Tawhiid Ya Kweli Kabisa, Ambayo Ndio Faradhi Kubwa Zaidi Aliyo Faradhisha Allah Kwa Waja Wake, Nayo Katika Dini Ni Kama Kichwa Kwa Mwili.

Nalo Neno Hili La Jengeka Na Nguzo Mbili Zaki Msingi.

Ya Kwanza: Kukanusha Uungu WA Hakika Kwa Asiye Kuwa Allah Mwenye Nguvu Na Utukufu.

Ya Pili: Kuthibitisha Uungu WA Hakika Kwa Allah Mwenye Nguvu Na Utukufu Peke Yake.

   
shiriki nasi