Sehemu ya ikhlasi kwenye dini
    face
  •   
  •  
Allah ni Mfalme Mwenye kumiliki.

Icreasefontsize decreasefontsize

Sehemu ya ikhlasi kwenye diNi

Ikhlas kwenye diNi iNadaraja ya juu Sana, haifikiwi Na chochote, kWasababu haikubaliwi a’amali yoyote bila ikhlas, Na Allah alitukumbusha kuhusu ikhlas katika Qur’an takatifu katika aya nyingi. MiongoNi mWazo: {Nao haWakuamrishWa kitu ILA Wamuabudu Mwenyezi Mungu Kwa kumtakasia DiNi} (Al-bayiNa: 5)

Amesema Allah Mtukufu: {Sema: Hakika Sala yangu, Na ibada zangu, Na uhai Wangu, Na kufa kWangu, Ni Kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi WA viumbe vyote. HaNa mshirika Wake. Na hayo ndiyo Niliyo amrishWa, Na Mimi Ni Wa kWanza Wa Waislamu. } (Al-an’am: 162-163)

Na akasema Allah: {Ambaye ameumba mauti Na uhai Ili kukujaribuNi Ni NaNi miongoNi mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. Na Yeye Ni Mwenye nguvu Na Mwenye msamaha. } (Al-mulku: 2)

Na akasema Allah teNa: {Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki Kwa Haki. Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia DiNi Yeye Tu. Hakika DiNi Safi Ni ya Mwenyezi Mungu Tu.} (Az-zumar: 2-3)

Na akasema: {Sema: Mimi Ni mWaNaadamu Kama nyinyi. NiNaleteWa Wahyi kWamba Mungu wenu Ni Mungu Mmoja. Mwenye kutaraji kukutaNa Na Mola Wake Mlezi basi Naatende vitendo vyema, Wala asimshirikishe yeyote katika ibada ya Mola Wake Mlezi. } (Al-kahfi: 110)

   
shiriki nasi