Marejeo (KUMUAMINI ALLWAH)
    face
  •   
  •  
Allah yuko Wazi

Icreasefontsize decreasefontsize

Marejeo (KumuamiNi AllWah)

1-Eleza Uhusiano Baina Ya Dini Na Imani Kwa Kutulia Na Kupata Raha.

2-Eleza Nini Imani, Na Taja Athari Zake Kwa Jamii?

3-Ni Vipi Vyenye Kuambatana Na Kumuamini Allah Mtukufu?

4-Niipi Amali Bora Zaidi Tena Tukufu Mbele Ya Allah?

5-Taja Unavyovihisi Kutokana Na Matunda Ya Kumuamini Allah Kwako Na Kwa Familia Yako Na Hadi Kwa Mujtamaa Wote.

6-Ni Vipi Vinavyoambatana Na Kuamini Mitume?

7-Kwanini Ilikuwa Miongoni Mwa Kuamini Mtume (S.A.W) Kwa Maswahaba Ni Kumpenda Pia?

8-Elezea Matukio Ya Kiyama Kwa Uataratibu Wake Unaoufahamu Kuanzia Kwa Ishara Zake Ndogo Mpaka Watakapoingia Peponi Watu Wa Peponi, Na Kuingia Motoni Watu Wa Motoni.

9-Ni Amali Gani Muhimu Inayomuingiza Mja Sana Peponi Na Kumuokoa Mja Kutokana Na Moto?

10-Eleza Matunda Ya Kuamini Kwako Siku Ya Mwisho Katika Ibada Zako Na Uchaji Mungu Wako.

11-Ni Ipi Neema Kubwa Peponi? Na Ni Ipi Adhabu Ya Chini Kabisa Motoni?

   
shiriki nasi