Maana ya kumuani Allwah na hakika yake.
    face
  •   
  •  
Ee! Allah Mwenye nguvu Mwenye kushinda

Icreasefontsize decreasefontsize

MaaNa ya kumuaNi AllWah Na hakika yake

Imani Ya Ukweli Ni Uhayi WA Roho Na Ni Uwanda WA Furaha.

Raha Ya Nafsi Haiji Ila Kwa Kumuamini Allwah, Nafsi Isio Kuamini Itabaki Kuwa Na Kicho Na Niyenye Kuduwala Na Dhaifu Haina Utulivu. Na Imani Ambayo Ina Kuokoka Ni Kumuani Mwenyeezzi Mungu, Na Maana Yake Ni Kusadiki Kwa Kukatikiwa Kwamba Mwenyeezzi Mungu Ni Mola Wa Kila Kitu, Na Nimfalme Wake Na Muumbaji Wake, Na Kwamba Yeye Anastahiki Peke Yake Aabudiwe Peke Yake Kwa Swala Kwa Saumu Kwa Dua Na Kutarajiwa Na Kuogopwa Na Kumdhalilikia Na Kumnyenyekea, Na Kwamba Yeye Ndie Mwenye Kusifika Na Sifa Za Utukufu Zote, Mwenye Kutakaswa Na Kila Upungufu Na Kombo, Mtukufu Mshindi.

Na Kumuamini Mwenyeezzi Mungu Inakusanya Kuamini Malaika Na Vitabu Vyake Na Mitume Yake Na Siku Ya Mwisho Na Kuamni Kadari Kheri Na Shari Yake, Na Imani Ndio Asli Ya Kusuudika Mwanadamu, Bali Ndio Pepo Ya Ulimwenguni Kwa Mumin, Na Mwisho Wake Ni Pepo Ya Akhera Insha Allwah.

Na Imani Katika Sharia Ni Kuamni Kwa Moyo Na Kutaamka Kwa Ulimi Pamoja...

Kumuamini Allwah Ni Nuru Ya Uadilifu, Na Nuru Ya Uhuru, Na Nuru Ya Elimu Na Maarifaa, Na Nuru Ya Uongofu, Na Nuru Ya Utulivu Na Amani Ya Kiroho.

Na Likijulikana Hili, Nalijulikane Kwamba Msingi Wakukubaliwa Amali Kwa Mwenyeezzi Mungu Ni Kuamini, Kwakusema Kwake Mwenyeezzi Mungu (S.W) A: {Yoyote Mwenye Kufanya Mambo Mema Na Akawa Ni Mwenye Imani)} (Al-Anbiyaa 94)

   
shiriki nasi